From Wikipedia
Kanisa Kuu la Tegucigalpa
Mfano wa hekalu ya utamaduni asilia kabla ya kufika kwa Wahispania
Tegucigalpa ((Tegus kwa kifupi) ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Honduras.
Ina wakazi zaidi ya milioni moja.
Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1578 kwa jina la "Real Villa de San Miguel de Tegucigalpa de Heredia" kama kituo cha migodi ya dhahabu na fedha.
 |
Makala hiyo kuhusu "Tegucigalpa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".
Ikiwepo makala kuhusu Tegucigalpa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.
|