Adolf von Baeyer
From Wikipedia
Adolf von Baeyer (31 Oktoba, 1835 – 20 Agosti, 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1880 alifaulu kusanisi nili na kuendelea kuichunguza. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.