Surinam (mto)
From Wikipedia
| Mto Surinam Surinamerivier |
|
|---|---|
|
|
|
| Chanzo | Milima ya Wilhelmina (Surinam) |
| Mdomo | Bahari ya Karibi (Atlantiki) |
| Nchi | Surinam |
| Urefu | 480 km |
| Kimo cha chanzo | 900 m |
| Mkondo | m³/s |
| Eneo la beseni | 16,500 km² |
Mto Surinam ni kati ya mito mikubwa nchini Surinam (Amerika Kusini). Bwawa la Brokopondostuwmeer inagawa mto katika sehemu mbili.
Inapita katika mji mkuu Paramaribo.
Viungo vya Nje

